Kwa neema ya Mungu kundi lilianza mwaka 2011 likijulikana kama Voiceless na baadaye kubadilisha jina na kuwa Goldencrown brothers.
Kundi limeundwa na vijana nane wa kiume na linaimba acapella. Tunatarajia kuingia studio mwaka huu October Mungu akipenda na mara albam yetu itakapo kamilika tuta wataarifu.
Wafuatao ni viongozi wa kundi;
2.KATIBU- DANIEL MNGUJINI.
3.MHAZINI- MWIJARUBI BURIRO.
4.MWALIMU- YOHANA ABEL.
5.MWALIMU MSAIDIZI- SINGO MATHEW.
6.MKUU WA NIDHAMU- BANDIHO BYARUGABA.
7.MKUU WA MAMBO YA KIROHO- GILEAD KIANDA.
8.MKUU WA MAWASILIANO- ELLY MARIMBOCHO.
Imeandaliwa na Elly O. Marimbocho-Afisa habari Goldencrown brothers.